Chapati Lyrics (feat. Whozu, Chino Kidd) – Abigail Chams
Chapati Lyrics
Intro
Aah aah … aah
Verse
Bwana we
Kwani we ni nani nikuwe nawe
Bwana we
Usinizoe eeh
Haiwezekani mi kuwa nawe
Bwana we
Chorus
Umempata mpenzi lakini hawezi kunifikia
Ooooh, hawezi kunifikia
Ana sura nzuri lakini hawezi kunifikia
Ooooh, hawezi kunifikia
Aaah aah aah, kunifikia
Aaah aah aah, hawezi kunifikia
Aaah aah aah, kunifikia
Aaah aah aah, hawezi kunifikia
Bridge
Eeeeh
Aaaah
Eeeeh
Aaaah
Verse
Nimekula kwako
Hutokuja pata atayekupenda kama mimi
Nimekula kwako
Hutokuja pata atayekupenda kama mimi
Shauri yako
Huyp mtu wako ana sura kama jini
Shauri yako
Huyp mtu wako ana sura kama jini
Chorus
Umempata mpenzi lakini hawezi kunifikia
Ooooh, hawezi kunifikia
Anapiga gym lakini tatizo ni kibamia
Ooooh, hawezi kunifikia
Aaah aah aah, kunifikia
Aaah aah aah, hawezi kunifikia
Aaah aah aah, kunifikia
Aaah aah aah, hawezi kunifikia
Verse
Usinifanye nimwage mchele kwenye umati
Usinifanye nimwage mchele kwenye umati
Mwanaume gani wewe
Ama unaka ka chapati
Mwanaume gani wewe
Ama unaka ka chapati
Usinifanye nimwage mchele kwenye umati
Usinifanye nimwage mchele kwenye umati
Mapenzi una force wewe
Wakati ashasema hakutaki
Mapenzi una force wewe
Wakati ashasema hakutaki
Chorus
Umempata mpenzi lakini hawezi kunifikia
Ooooh, hawezi kunifikia
Ana sura nzuri lakini hawezi kunifikia
Ooooh, hawezi kunifikia
Aaah aah aah, kunifikia
Aaah aah aah, hawezi kunifikia
Aaah aah aah, kunifikia
Aaah aah aah, hawezi kunifikia
Outro
Chaka chinja Chaka chinja
Chaka chaka chaka chaka chaka chinja
Chaka chinja Chaka chinja
Chaka chaka chaka chaka chaka chinja
Chaka chinja Chaka chinja
Chaka chaka chaka chaka chaka chinja
Chaka chinja Chaka chinja
Chaka chaka chaka chaka chaka chinja
Ewe!
About “Chapati”
“Chapati” is the sixth song from Tanzanian singer Abigail’s “5” EP. The Afropop/Amapiano song was written by Whozu (Oscar John Lelo), Chino Kidd (Isaya Michael Mtambo), and Lody Music (Omary Alawi Omary). “Chapati” was produced by Salim Rashid Kassim Maengo and released on September 29, 2023 through 2023 Sony Music Entertainment Africa (Pty) Ltd.
Abigail Chams said this about “Chapati”;
“‘Chapati’ is quite an interesting song. Chapati is Swahili food, but in Swahili, we use ‘chapati’ like a slur. Basically, this song is like a diss track. I sang it with Whozu, so it’s also a collaboration and a girl singing to her ex. She’s telling him she knows he’s got a new lover. At this point of the EP, we’ve broken up. I met this guy, I was falling in love. Then we had our moment on ‘Nani?’ where it was like, ‘Is this what it’s like to be in love?’ Then we had ‘Milele’, where it’s like, ‘Oh my gosh, I’m definitely in love now, let’s be together forever.’ Then we have ‘Corazon’ where we explore all the sensual and intimate areas of love. With ‘Chapati’, it’s like, ‘Damn, we were in love, but it’s over.’ Now this is me singing to my ex that he’s crazy if he thinks that I’m going to let him back in my life. So the chorus translates to, ‘You found a new lover, you got a new girl, but she cannot compare to me. There’s no way she could be me. She can never ever be me.’ It’s a diss track. Then Whozu comes in and does the same to me.”