Home
Artists
Songs
Albums
Genres
Search for:
Artists
Songs
Albums
Genres
Submit Your Music
Submit corrections
Muhibu Lyrics - Abigail Chams
Your Name *
Your Email *
Lyrics
(Intro) Oouu, it's Abigail Chams again Mocco (Verse 1) Ka niko ndotoni Unavyonilevya Upendo unamimaliza Na uko moyoni Unanitosheleza baby Na mwendo Nimeumaliza kwako baby (Pre-Chorus) Mimi oooh Pressure inashuka inapenda Milio inainuka inapenda Mwenzio oooh Nimekua chawa mdananda Kila unapokwenda nakuganda Utaniua kwa mapenzi haya Utanikill kwa mapenzi yaha, oooh (Chorus) Muhibu, muhibu Nimekuchagua wewe tu, wewe Tabibu, tabibu Oouu wewe tu, wewe Muhibu, muhibu Nimekuchagua wewe tu, wewe Tabibu, tabibu Ooooh mmh, uuh mmh (Verse 2) Mi siwezi Maana naona nimeshindwa Ndio maana nimekuachia wewe Mmmh Kwenye penzi We ndio mshindi kwangu bingwa Kikombe nakupatia wewe Siguni sikohoi Utachoniambia sichomoi Hapa nilipo hoi Sijiwezi goi goi (Pre-Chorus) Mimi oooh Pressure inashuka inapenda Milio inainuka inapenda Mwenzio oooh Nimekua chawa mdananda Kila unapokwenda nakuganda Utaniua kwa mapenzi haya Utanikill kwa mapenzi yaha, oooh (Chorus) Muhibu, muhibu Nimekuchagua wewe tu, wewe Tabibu, tabibu Oouu wewe tu, wewe Muhibu, muhibu Nimekuchagua wewe tu, wewe Tabibu, tabibu Ooooh mmh, uuh mmh (Outro) Tamba baby tamba baby Tamba baby uko nami eh Tamba baby tamba baby Ooh tamba baby uko nami eh Ooooh Tamba baby tamba Oooh tamba, mmmh
Submit Corrections