Muhibu – Abigail Chams
Muhibu Lyrics
(Intro)
Oouu, it’s Abigail Chams again
Mocco
(Verse 1)
Ka niko ndotoni
Unavyonilevya
Upendo unamimaliza
Na uko moyoni
Unanitosheleza baby
Na mwendo
Nimeumaliza kwako baby
(Pre-Chorus)
Mimi oooh
Pressure inashuka inapenda
Milio inainuka inapenda
Mwenzio oooh
Nimekua chawa mdananda
Kila unapokwenda nakuganda
Utaniua kwa mapenzi haya
Utanikill kwa mapenzi yaha, oooh
(Chorus)
Muhibu, muhibu
Nimekuchagua wewe tu, wewe
Tabibu, tabibu
Oouu wewe tu, wewe
Muhibu, muhibu
Nimekuchagua wewe tu, wewe
Tabibu, tabibu
Ooooh mmh, uuh mmh
(Verse 2)
Mi siwezi
Maana naona nimeshindwa
Ndio maana nimekuachia wewe
Mmmh
Kwenye penzi
We ndio mshindi kwangu bingwa
Kikombe nakupatia wewe
Siguni sikohoi
Utachoniambia sichomoi
Hapa nilipo hoi
Sijiwezi goi goi
(Pre-Chorus)
Mimi oooh
Pressure inashuka inapenda
Milio inainuka inapenda
Mwenzio oooh
Nimekua chawa mdananda
Kila unapokwenda nakuganda
Utaniua kwa mapenzi haya
Utanikill kwa mapenzi yaha, oooh
(Chorus)
Muhibu, muhibu
Nimekuchagua wewe tu, wewe
Tabibu, tabibu
Oouu wewe tu, wewe
Muhibu, muhibu
Nimekuchagua wewe tu, wewe
Tabibu, tabibu
Ooooh mmh, uuh mmh
(Outro)
Tamba baby tamba baby
Tamba baby uko nami eh
Tamba baby tamba baby
Ooh tamba baby uko nami eh
Ooooh
Tamba baby tamba
Oooh tamba, mmmh
About “Muhibu”
“Muhibu” is a song by Tanzanian singer Abigail Chams. The song was written by Mocco Genius (real name Idd Mohamed Ngomba) and Abigail Chamungwana. “Muhibu” was produced by Mocco Genius and released on November 15, 2024 through Kenya – Sony Music Entertainment East Africa Limited.
Genres
Q&A
Who produced “Muhibu” by Abigail Chams?
When was “Muhibu” by Abigail Chams released?
Who wrote “Muhibu” by Abigail Chams?
Abigail Chams Songs
Abigail Chams →-
1.
Muhibu
Abigail Chams
-
2.
Nyash
Abigail Chams (feat. S2Kizzy, Dj Joozey)
-
3.
Falling in Love
Abigail Chams
-
4.
Milele
Abigail Chams
-
5.
Corazon
Abigail Chams (feat. Rayvanny)
-
6.
Bata
Abigail Chams
-
7.
Chapati
Abigail Chams (feat. Whozu, Chino)
-
8.
Closer
Abigail Chams (feat. Harmonize)
-
9.
Nani?
Abigail Chams (feat. Marioo)